Zijue Sifa 10 zilizotajwa na HESLB kwa wanafunzi wanaoomba mikopo



Zijue Sifa 10 zilizotajwa na HESLB kwa wanafunzi wanaoomba mikopo

Njombe Yetu blog
 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetangaza mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 na imeanza kupokea maombi ya mikopo kuanzia tarehe 6 Agosti 2017 hadi tarehe 4 Septemba, 2017.

Waombaji wote wa mikopo watarajiwa wanasisitizwa kusoma mwongozo wa utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 pamoja na taratibu nyingine za uombaji mkopo kabla ya kujaza fomu za maombi ya mkopo zinazopatikana kwenye mtandao wa https://olas.heslb.go.tz

Kusoma mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 bofya hapa www.heslb.go.tz


Hapo chini ni sifa za msingi za mwombaji wa mkopo;



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

YAJUE HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO MAANA.............????

Kama Huna Mtaji Na Unahitaji Kuwekeza, Fanya Hivi Kwanza…

Maskini Na Tajiri Wanatofautiana Kwa Mambo Haya